Wafilipi 4:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Kweli nina vitu vyote vya lazima na zaidi kupita. Sasa kwa kuwa Epafrodito ameniletea zawadi zenu zote, ninatosheka. Zawadi hizi ni kama sadaka ya ubani yenye harufu nzuri, na kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto inayokubaliwa na Mungu na kumupendeza. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |