24 Lakini jambo la lazima zaidi kwa ajili yenu, mimi niendelee kuishi.
Lakini mimi ninawaambia ukweli: ni faida kwenu mimi niende, kwa maana nisipokwenda, Musaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda, nitamutuma kwenu.
Lakini ikiwa kama kuendelea kuishi ni kwa lazima kwa ajili ya kazi yangu, basi sijui nichague nini.
Maana ninasongwa na mambo mawili. Ninatamani kujiendea na kukaa pamoja na Kristo, maana hili ndilo jambo bora zaidi.