Waefeso 2:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kwa maana Kristo mwenyewe ndiye aliyetuletea amani akifanya Wayuda na watu wa mataifa mengine kuwa jamii moja. Kwa njia ya kutoa mwili wake, amevunja uadui uliokuwa kama ukuta uliowatenganisha. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |