Waebrania 9:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Kufuatana na ile, kulikuwa Hema iliyosimikwa. Chumba chake cha kwanza kiliitwa Pahali Patakatifu. Ndani ya chumba kile kulikuwa kinara cha kuwekea taa, meza na mikate iliyotolewa kwa Mungu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |