Waebrania 8:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Sasa hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa ufalme wa Israeli katika siku zile: nitawawezesha kuchunga sheria zangu ndani ya mafikiri yao, nikiziandika ndani ya mioyo yao. Ni Bwana wetu Mungu anayesema hivyo. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |