Waebrania 7:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Wazao wa Lawi wanaopewa kazi ya ukuhani wanaamriwa na Sheria kukongoa fungu moja la kumi la mapato toka kwa wandugu zao Waisraeli, ijapokuwa wao vilevile ni wa uzao wa Abrahamu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |