Waebrania 7:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Hakuna mambo yaliyoandikwa juu ya baba ya Melkisedeki, wala mama yake, wala majina ya babu zake. Tena, habari za kuzaliwa kwake na za kufa kwake hazijulikani. Anafanana na Mwana wa Mungu kwa kuwa yeye ni kuhani kwa milele. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |