Waebrania 12:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Nasi vilevile tunazungukwa na kundi kubwa kama lile la wale walioshuhudia imani yao. Basi tutupilie mbali vitu vyote vinavyotusonga, nazo zambi zinazotufunga upesi na tukimbie kwa juhudi sana katika mashindano tunayowekewa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |