Waebrania 11:37 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200237 Wengine waliuawa kwa kutupiwa mawe, wengine walikatwa vipandevipande kwa misumeno, au kuuawa kwa upanga. Walitangatanga wakivaa ngozi za kondoo au za mbuzi, wakiishi katika umasikini, wakiteswa na kutendewa vibaya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |