Waebrania 11:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Watu hawa wote walikufa katika imani pasipo kupokea mambo Mungu aliyoahidi. Lakini waliyaona kwa mbali na kuyafurahia, wakikubali kwamba walikuwa wageni na wasafiri katika dunia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |