Waamuzi 7:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Basi, Gideoni akatwaa vyakula vya wale waliokuwa wanaondoka na baragumu, akawaaga waende kwao. Yeye akabaki na wale watu mia tatu. Kambi ya Wamidiani ilikuwa katika bonde upande wao wa chini. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |