Waamuzi 7:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Yawe akamwambia Gideoni: “Watu unaokuwa nao ni wengi sana kwangu mimi kwa kuwatia Wamidiani katika mikono yao. Waisraeli wasipate kujisifu mbele yangu na kusema kwamba wamejiokoa kwa nguvu zao wenyewe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |