Waamuzi 5:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Walimaji walitoweka, walitoweka katika Israeli, mpaka nilipotokea mimi Debora, mimi ninayekuwa mama wa Israeli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Kutokana na sababu hii, Wayuda wanaokaa katika vijiji na katika miji midogo wanasherehekea siku ya kumi na ine ya mwezi wa Adari kuwa sikukuu ya furaha, na kupelekeana zawadi wakati wale wanaoishi katika miji mikubwa wanasherehekea siku ya kumi na tano ya mwezi wa Adari kama siku ya mapumziko, na kupelekeana vilevile zawadi.