Waamuzi 16:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Delila alikuwa ameweka watu wamuvizie katika chumba cha ndani. Kisha, akamwambia Samusoni kwa sauti kubwa: “Samusoni! Wafilistini wanafika kukushambulia.” Samusoni akazikata kamba hizo kama nyuzi za kitani zinapogusa moto. Hivyo hakuna aliyegundua siri ya nguvu zake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |