Ufunuo 2:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Ninajua matendo yako na taabu yako na uvumilivu wako. Ninajua kwamba hauwezi kuwakubali watu waovu. Umewapima wale wanaojiita mitume, kumbe si mitume, nawe ukatambua kwamba ni wasema uongo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |