Ufunuo 16:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Malaika wa kwanza akamwanga kikombe chake katika dunia. Halafu majipu mabaya na yenye kuumiza sana yakaota juu ya watu waliokuwa na chapa ya yule nyama na walioabudu sanamu yake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |