Ufunuo 13:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Kimoja cha vichwa vya yule nyama kilionekana kwamba kilikuwa kimeumizwa vibaya sana, lakini kidonda kilichokuwa cha hatari ya kufa kilikuwa kimekwisha kupona. Na kwa hiyo watu wote wa dunia wakashangaa na kumufuata yule nyama. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Yule nyama uliyemwona alikuwa yuko zamani, lakini sasa hayuko tena. Naye ni tayari kupanda toka katika shimo la kuzimu na kwenda kuangamizwa kabisa. Nao wakaaji wa dunia ambao majina yao hayakupata kuandikwa katika kitabu cha uzima tangia kuumbwa kwa dunia, watashangaa wakati watakapomwona yule nyama, kwa sababu alikuwa yuko zamani lakini hayuko sasa, naye atatokea tena!