Ruta 4:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Halafu Boazi akawaambia wazee na watu waliokuwa pale: “Leo ninyi ni washuhuda wangu. Mumeona kwamba nimenunua kutoka kwa Naomi, vyote vilivyokuwa vya Elimeleki, na vya Kiliona na Malona. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |