Nehemia 9:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Ukamwona kuwa wa haki mbele yako; ukafanya agano naye kuwapa wazao wake inchi ya Wakanana, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgasi. Na ahadi yako ukaitimiza; maana wewe ni mwaminifu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |