Nehemia 8:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Watu wote waliorudi kutoka katika uhamisho wakatengeneza vibanda wakaishi ndani yake. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza watu kuishi katika vibanda tangu wakati Yesua mwana wa Nuni alipokuwa akiishi. Watu wakafurahi sana. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |