watu waliamua kwa shauri moja kuendelesha sherehe kwa muda wa siku saba zaidi. Basi wakaendelea kusherehekea kwa furaha kubwa kwa muda wa siku saba zaidi.
Wakagundua kwamba, imeandikwa katika kitabu cha Sheria kuwa Yawe alimwamuru Musa, kwamba watu wanapaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.