Nehemia 7:64 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200264 Hao walitafuta kitabu cha vizazi vyao kati ya wengine walioandikwa katika kitabu cha ukumbusho za ukoo, lakini ukoo wao haukuonekana. Kwa hiyo hawakuruhusiwa kutiwa katika kazi ya ukuhani maana walihesabiwa kuwa wachafu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |