62 Wao walikuwa wazao wa Delaya, Tobia na wa Nekoda, kwa jumla: watu mia sita makumi ine na wawili.
Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, kwa jumla watu mia sita makumi tano na wawili.
Watu walirudi kutoka miji hii: Teli-Mela, Teli-Harsa, Kerubu, Adoni, Imeri. Lakini haikuwezekana kuhakikisha kwamba walikuwa wazao wa Waisraeli.
Wazao wa ukoo hizi zinazofuata za makuhani vilevile walirudi: ukoo wa Hobaya, wa Hakosi na wa ukoo wa Barzilayi (aliyekuwa ameoa wabinti za Barzilayi, Mugileadi, naye akatwaa jina la ukoo ule.)