42 wa ukoo wa Harimu: elfu moja na kumi na saba.
Wazao wa Harimu: Eliezeri, Isia, Malkia, Semaya, Simeoni,
wa ukoo wa Harimu: elfu moja na kumi na saba.
wa ukoo wa Pashuri: elfu moja mia mbili makumi ine na saba;
Walawi wa ukoo wa Yesua, ni kusema Kadimieli, wazao wa Hodavia waliorudi kutoka katika uhamisho walikuwa makumi saba na wane.