Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Nehemia 6:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

18 Wengi kati ya Wayuda walishirikiana naye kutokana na kiapo chao maana alikuwa mukwe wa Sekania mwana wa Ara. Zaidi ya yote, Yehohanani mwana wake, alikuwa amemwoa binti Mesulamu mwana wa Berekia.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Nehemia 6:18
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wana wa Hanania walikuwa: Pelatia na Yesaya. Mwana wa Yesaya: Refaya. Mwana wake: Arnani. Mwana wake: Obadia. Mwana wake: Sekania.


wa ukoo wa Ara: mia saba makumi saba na watano;


Sehemu inayofuata ikiwa ni sehemu yao ya pili ikajengwa upya na Hanania mwana wa Selemia, akishirikiana na Hanuni mwana wa sita wa Zalafi. Mesulamu mwana wa Berekia, akajenga upya sehemu inayoelekeana na chumba chake.


Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Meremoti mwana wa Uria, mujukuu wa Hakosi. Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Mesulamu mwana wa Berekia, mujukuu wa Mesezabeli. Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Zadoki mwana wa Bana.


Wakati ule wote, viongozi wa Wayuda walikuwa wakiandikiana na Tobia.


Vilevile wakanielezea matendo mema ya Tobia, na wakakuwa wanamupelekea habari zangu. Naye akakuwa ananiandikia barua kwa kunitisha.


ukoo wa Ara: mia sita makumi tano na wawili;


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ