Nehemia 3:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200230 Sehemu inayofuata ikiwa ni sehemu yao ya pili ikajengwa upya na Hanania mwana wa Selemia, akishirikiana na Hanuni mwana wa sita wa Zalafi. Mesulamu mwana wa Berekia, akajenga upya sehemu inayoelekeana na chumba chake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |