Nehemia 3:29 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
29 Zadoki mwana wa Imeri akajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ikajengwa upya na Semaya mwana wa Sekania, mulinzi wa Mulango wa Mashariki,
Halafu Sekania mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Elamu, akamwambia Ezra: “Tumekosa uaminifu kwa Mungu kwa kuoa wanawake wa kigeni wa inchi hii, lakini hata hivyo bado kuna tumaini kwa ajili ya Israeli.
Sehemu inayofuata ikiwa ni sehemu yao ya pili ikajengwa upya na Hanania mwana wa Selemia, akishirikiana na Hanuni mwana wa sita wa Zalafi. Mesulamu mwana wa Berekia, akajenga upya sehemu inayoelekeana na chumba chake.