Nehemia 13:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi pale mbele, sasa walikwisha kurudilia mashamba yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |