Nehemia 12:43 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200243 Siku hiyo, watu wakatoa sadaka nyingi na kufurahi maana Mungu aliwafanya kuwa na furaha kubwa. Vilevile wanawake na watoto, wote wakafurahi. Vigelegele vya furaha toka katika Yerusalema vikasikilika mbali. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |