34 Yuda, Benjamina, Semaya na Yeremia.
Pamoja naye walikwenda Azaria, Ezra, Mesulamu,
Wazao hawa wa makuhani walikuwa na baragumu: Zakaria, mwana wa Yonatani mujukuu wa Semaya aliyekuwa mwana wa Matania mwana wa Mikaya mwana wa Zakuri mwana wa Asafu.