32 Waimbaji hao walifuatwa na Hosaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda.
Nikawakusanya viongozi wote wa Yuda kwenye ukuta na kutenga waimbaji katika makundi mawili makubwa yaliyoimba nyimbo za shukrani wakiwa katika maandamano. Kundi moja lilielekea upande wa kuume wa ukuta mpaka kwenye Mulango wa Takataka.
Pamoja naye walikwenda Azaria, Ezra, Mesulamu,