Nehemia 12:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200231 Nikawakusanya viongozi wote wa Yuda kwenye ukuta na kutenga waimbaji katika makundi mawili makubwa yaliyoimba nyimbo za shukrani wakiwa katika maandamano. Kundi moja lilielekea upande wa kuume wa ukuta mpaka kwenye Mulango wa Takataka. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |