na Obadia mwana wa Semaya mwana wa Galali mwana wa Yedutuni; na Berekia mwana wa Asa mwana wa Elekana; waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Wanetofati.
Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi pale mbele, sasa walikwisha kurudilia mashamba yao.