Nehemia 12:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200226 Watu hao waliishi wakati wa Yoyakimu mwana wa Yesua mujukuu wa Yosadaki na vilevile wakati wa Nehemia aliyekuwa liwali wa jimbo; na hata wakati wa Ezra kuhani na mwandishi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |