Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Nehemia 11:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

7 Watu wa ukoo wa Benjamina waliokaa katika Yerusalema ni: Salu, mwana wa Mesulamu mwana wa Yoedi mwana wa Pedaya mwana wa Kolaya mwana wa Maseya mwana wa Itieli na mwana wa Yesaya.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Nehemia 11:7
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wana wa Hanania walikuwa: Pelatia na Yesaya. Mwana wa Yesaya: Refaya. Mwana wake: Arnani. Mwana wake: Obadia. Mwana wake: Sekania.


Hao ndio waliokuwa wakubwa wa ukoo zao kulingana na vizazi vyao. Walikuwa wanaishi Yerusalema.


Wazao wote wa Peresi waliokaa katika Yerusalema walikuwa wanaume mashujaa mia ine makumi sita na wanane.


Nyuma ya huyo kulikuwa Gabayi na Salayi. Jumla yao mia tisa makumi mbili na wanane.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ