34 Hadidi, Seboimu, Nebalati,
Hazori, Rama, Gitaimu,
Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Wafundi.
Kikundi kingine kilielekea Beti-Horoni, na kikundi kingine kikageukia njia inayoelekea bonde la Zeboimu, kuelekea katika jangwa.