Nehemia 11:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 na Matania mwana wa Mika mwana wa Zabudi, wa uzao wa Asafu, aliyekuwa kiongozi wakati wa kuomba maombi ya shukrani. Bakubukia alikuwa musaidizi wake. Pamoja nao kulikuwa Abuda mwana wa Samua mwana wa Galali wa uzao wa Yedutuni. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |