Nehemia 11:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 pamoja na wandugu zao waliofanya kazi katika hekalu walikuwa mia nane makumi mbili na wawili. Pamoja na hao, kulikuwa Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia mwana wa Amsi mwana wa Zakaria mwana wa Pasuri mwana wa Malkiya; အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |