Nehemia 10:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210-14 Walawi: Yesua mwana wa Azania, Binui wa uzao wa Henadadi, Kadimieli na wandugu zao: Sebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Mika, Rehobu, Hasabia, Zakuri, Serebia, Sebania, Hodia, Bani, Beninu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |