Nahumu 2:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Ngao za mashujaa wake ni nyekundu, waaskari wake wamevaa nguo nyekundu sana. Magari yao ya vita yanametameta kama ndimi za moto, yamepangwa tayari kwa kushambulia; farasi hawatulii kwa hamu ya kushambulia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |