Mwanzo 9:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Lakini Semu na Yafeti wakatwaa nguo, wakaiweka juu ya mabega yao, wakakwenda kinyumenyume na kufunika uchi wa baba yao. Waliangalia pembeni, wala hawakuuona uchi wa baba yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |