Mwanzo 9:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Nyama wote, ndege wote wa anga, viumbe vyote vinavyotambaa juu ya inchi na samaki wote wa bahari watakuwa na hofu na kuwaogopa ninyi. Wote wamewekwa chini ya mamlaka yenu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |