Mwanzo 8:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Ondoa vilevile viumbe vyote vyenye uzima vya kila aina vilivyokuwa pamoja nawe, ndege na nyama na kila kiumbe kinachotambaa, vipate kuzaa kwa wingi katika dunia, viongezeke na kuenea kila pahali katika dunia.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |