Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 7:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 wawiliwawili, dume na dike, wakaingia ndani ya chombo pamoja na Noa kama vile Mungu alivyomwamuru.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 7:9
12 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Basi, Yawe akaumba kutoka udongo kila nyama wa pori na kila ndege wa anga, halafu akamuletea yule mwanaume aone atawapa majina gani. Na majina aliyowapa viumbe hao, yakakuwa ndiyo majina yao.


Noa akafanya yote kama vile Mungu alivyomwamuru.


Nyuma ya siku saba, maji ya mafuriko yakaanza kuifunika inchi.


Wawili wawili wa kila aina ya viumbe vyenye uzima waliingia ndani ya chombo pamoja na Noa.


Kila aina yao waliingia dume na dike kama vile Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Yawe akafunga mulango wa chombo nyuma ya Noa.


Nyama wanaohesabiwa kuwa safi, nyama wanaohesabiwa kuwa wachafu, ndege na viumbe vyote vinavyotambaa,


Imbwa wa pori na kondoo watakula pamoja, simba watakula majani kama ngombe, lakini chakula cha nyoka kitakuwa mavumbi. Katika mulima wangu wote mutakatifu, hakuna atakayeumiza au kuharibu kitu. –Ni Yawe anayesema hivyo.


Hata korongo anajua wakati wa kuhama; njiwa, mbaruwayi na koikoi, wanajua nyakati zao za kurudi. Lakini hawa watu wangu hawajui maagizo ya Yawe.


Kwa hiyo hakuna tena umbalimbali kati ya Wayuda na watu wa mataifa mengine, kati ya watumwa na watu huru, mwanaume na mwanamuke; kwa maana ninyi wote ni mumoja katika kuungana kwenu na Yesu Kristo.


Kwa hiyo hakuna tena tofauti kati ya watu wa mataifa mengine na Wayuda, wenye kutahiriwa na wasiotahiriwa, wageni, washenzi, watumwa na watu huru. Lakini Kristo ni yote naye yuko katika wote.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ