8 Nyama wanaohesabiwa kuwa safi, nyama wanaohesabiwa kuwa wachafu, ndege na viumbe vyote vinavyotambaa,
Nawe utaingiza katika chombo kila aina ya viumbe, wawiliwawili, dume na dike, kwa kuwalinda wazima pamoja nawe.
“Utaingiza kila aina ya ndege wa anga, kila aina ya nyama, kila aina ya kiumbe kinachotambaa, wawili wa kila aina, kwa kuwalinda wazima.
Waliingia wao wenyewe pamoja na aina zote za nyama wa pori, aina zote za nyama wanaofugwa, aina zote za nyama wanaotambaa na ndege wa kila aina.
Utwae pamoja nawe nyama wote wanaohesabiwa kuwa safi, dume saba na dike saba ya kila aina. Lakini nyama wanaohesabiwa kuwa wachafu, utwae dume na dike ya kila aina.
Vilevile utwae ndege dume saba na dike saba ya kila aina, kwa kulinda wazima aina zao katika dunia.
wawiliwawili, dume na dike, wakaingia ndani ya chombo pamoja na Noa kama vile Mungu alivyomwamuru.
Na ndani yake kulikuwa kila namna ya nyama wenye miguu mine na wenye kutambaa pamoja na ndege.