Mwanzo 50:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Vilevile, Yosefu alisindikizwa na jamaa yake yote, wandugu zake na jamaa yote ya baba yake Yakobo. Katika eneo la Goseni kulibaki watoto wao tu pamoja na kondoo, mbuzi na ngombe wao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |