25 Wakati Metusela alipokuwa na umri wa miaka mia moja makumi nane na saba, akazaa Lameki.
Enoki akazaa Iradi, naye Iradi akazaa Mehuyaeli, naye Mehuyaeli akazaa Metusaeli, naye Metusaeli akazaa Lameki.
Alikuwa akishirikiana na Mungu, akatoweka, kwa maana Mungu alimupeleka.
Kisha kuzaa Lameki, Metusela akaishi miaka mia saba makumi nane na miwili, na kupata wana wengine na wabinti.