17 Mahalaleli akakufa akiwa na umri wa miaka mia nane makumi tisa na mitano.
Kisha kuzaa Yaredi, Mahalaleli akaishi miaka mia nane na makumi tatu, na kupata wana wengine na wabinti.
Wakati Yaredi alipokuwa na umri wa miaka mia moja makumi sita na miwili, akazaa Henoki.