15 Wakati Mahalaleli alipokuwa na umri wa miaka makumi sita na mitano, akazaa Yaredi.
Kenani alikufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na kumi.
Kisha kuzaa Yaredi, Mahalaleli akaishi miaka mia nane na makumi tatu, na kupata wana wengine na wabinti.
Wakati Enoki alipokuwa na umri wa miaka makumi sita na mitano, akazaa Metusela.