14 Kenani alikufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na kumi.
Kisha kuzaa Mahalaleli, Kenani akaishi miaka mia nane na makumi ine, na kupata wana wengine na wabinti.
Wakati Mahalaleli alipokuwa na umri wa miaka makumi sita na mitano, akazaa Yaredi.
Adamu alikufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na makumi tatu.